10 “Nilikaa mlimani kwa muda wa siku arubaini, usiku na mchana, kama hapo awali. Mwenyezi-Mungu alinisikiliza kwa mara nyingine tena na akakubali kwamba hatawaangamiza.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:10 katika mazingira