22 Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu sabini tu, lakini sasa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:22 katika mazingira