Kumbukumbu La Sheria 11:12 BHN

12 nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huitunza; Mwenyezi-Mungu huiangalia daima tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:12 katika mazingira