Kumbukumbu La Sheria 11:22 BHN

22 “Mkijihadhari kutenda amri zote ambazo nimewapa: Kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuzifuata njia zake zote na kuambatana naye,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:22 katika mazingira