6 na mambo aliyowatenda Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, mwana wa Reubeni; jinsi mbele ya watu wote wa Israeli nchi ilivyofunuka na kuwameza pamoja na jamaa zao, mahema yao, wanyama na watumishi wao wote.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:6 katika mazingira