Kumbukumbu La Sheria 11:9 BHN

9 mpate kuishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali; nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwapa babu zenu na wazawa wao.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:9 katika mazingira