16 Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 13
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 13:16 katika mazingira