7 Lakini msile mnyama yeyote ambaye kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili na hacheui; msile ngamia, sungura na pelele, ingawa hucheua lakini kwato zao hazikugawanyika sehemu mbili; hao ni najisi kwenu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 14
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 14:7 katika mazingira