10 Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:10 katika mazingira