Kumbukumbu La Sheria 15:2 BHN

2 Hivi ndivyo mtakavyofanya: Kila mmoja aliyemkopesha jirani yake, alifute hilo deni, wala asijaribu kumdai kwa sababu Mwenyezi-Mungu mwenyewe ameamua deni hilo lifutwe.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:2 katika mazingira