Kumbukumbu La Sheria 15:21 BHN

21 Lakini mnyama huyo akiwa na dosari yoyote, yaani akiwa kilema au kipofu, au ana kasoro yoyote kubwa, usimtoe kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:21 katika mazingira