Kumbukumbu La Sheria 15:6 BHN

6 Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawabariki kama vile alivyowaahidi. Nanyi mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa. Kadhalika mtatawala mataifa mengi, lakini mataifa hayo hayatawatawala nyinyi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:6 katika mazingira