Kumbukumbu La Sheria 16:10 BHN

10 Halafu mtaadhimisha sikukuu ya majuma kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoa sadaka ya hiari, mtakayotoa kadiri awabarikiavyo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:10 katika mazingira