15 Kwa siku saba mtamfanyia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, sherehe mahali ambapo Mwenyezi-Mungu atapachagua; kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki kwa mazao yenu yote na katika shughuli zenu zote nanyi hakika mtafurahi.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:15 katika mazingira