Kumbukumbu La Sheria 16:4 BHN

4 Kwa muda wa siku saba mtu yeyote katika nchi yenu asiweke chachu nyumbani mwake; na nyama ya yule mnyama aliyechinjwa jioni ya siku ya kwanza isibaki mpaka asubuhi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:4 katika mazingira