6 bali mtaitolea pale mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atapachagua likae jina lake, hapo ndipo mtakapotolea sadaka ya Pasaka jioni, jua linapotua, wakati uleule mlipotoka Misri.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:6 katika mazingira