Kumbukumbu La Sheria 16:8 BHN

8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:8 katika mazingira