Kumbukumbu La Sheria 17:1 BHN

1 “Msimtolee Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, sadaka ya ng'ombe au kondoo mwenye dosari, wala ubaya wowote, maana hilo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 17

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 17:1 katika mazingira