Kumbukumbu La Sheria 17:12 BHN

12 Naye mtu asiyejali kumtii kuhani au mwamuzi aliyewekwa hapo kumhudumia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au mwamuzi, mtu huyo atauawa. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 17

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 17:12 katika mazingira