Kumbukumbu La Sheria 18:22 BHN

22 Kama nabii akisema kitu ati kwa jina la Mwenyezi-Mungu, na kitu hicho hakifanyiki au hakiwi kweli, jambo hilo hakulisema Mwenyezi-Mungu; nabii amelisema kwa ufidhuli, nanyi msitishwe na jambo hilo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 18

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 18:22 katika mazingira