Kumbukumbu La Sheria 18:7 BHN

7 na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 18

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 18:7 katika mazingira