15 “Ushahidi wa mtu mmoja hautoshi kumhukumu mtu juu ya kosa lolote la jinai au uovu kuhusu kosa lolote alilofanya. Ni ushahidi wa watu wawili au watatu tu ndio utakaothaminiwa.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:15 katika mazingira