6 Lakini kama umbali wa mji huo ni mkubwa mno, huyo mwenye kulipiza kisasi, kwa hasira kali anaweza kumfuatia, akamkamata na kumuua huyo aliyesababisha kifo, ingawaje hakupewa hukumu ya kifo na hao wahusika wawili hawakuwa maadui hapo awali!
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:6 katika mazingira