Kumbukumbu La Sheria 2:14 BHN

14 Miaka thelathini na nane ilikuwa imepita tangu kuondoka Kadesh-barnea mpaka kuvuka kijito cha Zeredi. Wakati huo, kizazi chote cha wale watu wa umri wa kwenda vitani kilikuwa kimetoweka kulingana na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowaapia.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:14 katika mazingira