Kumbukumbu La Sheria 2:19 BHN

19 Mtaifikia nchi ya Waamoni. Msiwasumbue wala msipigane nao kwa kuwa sitawapeni sehemu yoyote ya hao wazawa wa Amoni; iwe mali yenu. La! Hao ni wazawa wa Loti, na nimewapa hiyo nchi iwe mali yao.’”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:19 katika mazingira