23 Waavi walikuwa hapo awali wakiishi katika vijiji vya mwambao wa Mediteranea mpaka Gaza. Wakaftori kutoka kisiwa cha Kaptori wakawaangamiza, wakaishi humo badala yao).
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:23 katika mazingira