Kumbukumbu La Sheria 2:36 BHN

36 Kuanzia Aroeri, mji ulio ukingoni mwa bonde la Arnoni na mji ulio ndani ya bonde hili mpaka Gileadi, hakuna mji wowote uliokuwa imara hata tukashindwa kuuteka. Mwenyezi-Mungu aliitia yote mikononi mwetu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:36 katika mazingira