Kumbukumbu La Sheria 2:8 BHN

8 “Hivyo tuliendelea na safari yetu, tukawapita ndugu zetu, wazawa wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaiacha nyuma ile njia ya Araba na pia miji ya Elathi na Esion-geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia nyika ya Moabu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:8 katika mazingira