Kumbukumbu La Sheria 20:1 BHN

1 “Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 20

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 20:1 katika mazingira