Kumbukumbu La Sheria 20:5 BHN

5 “Kisha maofisa watawaambia watu: ‘Kuna mtu yeyote hapa aliyejenga nyumba mpya lakini hajaizindua? Arudi nyumbani, asije akafia vitani na mtu mwingine akaizindua.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 20

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 20:5 katika mazingira