Kumbukumbu La Sheria 21:23 BHN

23 maiti yake isiachwe mtini usiku wote, bali mtaizika siku hiyohiyo. Maana mtu aliyenyongwa amelaaniwa na Mungu nanyi hamtaitia najisi nchi yenu mliyopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, iwe mali yenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 21

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 21:23 katika mazingira