4 Nao watamteremsha ndama bondeni kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa; huko watamvunja huyo ndama shingo.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 21
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 21:4 katika mazingira