Kumbukumbu La Sheria 22:21 BHN

21 watampeleka kwenye mlango wa nyumba ya baba yake na wanaume wa mji huo watampiga mawe afe, kwa sababu amefanya ufidhuli katika Israeli kwa kufanya umalaya akiwa nyumbani kwa baba yake. Ndivyo mtakavyokomesha uovu huo miongoni mwenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 22

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 22:21 katika mazingira