Kumbukumbu La Sheria 22:29 BHN

29 mwanamume huyo atamlipa baba yake msichana huyo vipande hamsini vya fedha kwa sababu amemnajisi, na msichana huyo atakuwa mke wake, wala hana ruhusa ya kumwacha maisha yake yote.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 22

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 22:29 katika mazingira