Kumbukumbu La Sheria 23:14 BHN

14 Kambi yenu lazima iwe takatifu kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anatembea kambini mwenu ili awaokoe na kuwatia adui zenu mikononi mwenu. Kwa hiyo msimwache aone kitu chochote kisichofaa miongoni mwenu, la sivyo atawaacheni.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:14 katika mazingira