Kumbukumbu La Sheria 24:1 BHN

1 “Ikiwa mwanamume ameoa mke na baadaye akawa hapendezwi naye kwa sababu ameona kwake kitu kisichofaa, basi, huyo mwanamume akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza nyumbani mwake, kisha huyo mwanamke akaondoka,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 24

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 24:1 katika mazingira