4 basi, yule mume wa kwanza haruhusiwi tena kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wake kwa sababu alikwisha kutiwa unajisi. Kufanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 24
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 24:4 katika mazingira