Kumbukumbu La Sheria 25:7 BHN

7 Lakini kama huyo ndugu wa marehemu hamtaki huyo mwanamke mjane, basi, mwanamke huyo atakwenda mbele ya wazee wa mji na kusema, ‘Kaka wa mume wangu marehemu anakataa kuendeleza jina la kaka yake marehemu katika Israeli; hapendi kunitimizia jukumu lake la kaka wa mume wangu marehemu.’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 25

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 25:7 katika mazingira