Kumbukumbu La Sheria 26:19 BHN

19 Atawafanyieni nyinyi kuwa taifa kubwa kuliko mataifa yote aliyoyaumba. Nanyi mtalitetea jina lake, sifa yake na heshima yake. Nyinyi mtakuwa watu wake, walio mali yake, kama alivyoahidi.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 26

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 26:19 katika mazingira