Kumbukumbu La Sheria 27:13 BHN

13 Na makabila yafuatayo yatasimama juu ya mlima Ebali wakati laana zitakapotolewa: Reubeni, Gadi, Asheri, Zebuluni, Dani na Naftali.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 27

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 27:13 katika mazingira