Kumbukumbu La Sheria 27:3 BHN

3 Juu yake mtaandika maneno yote ya sheria zote hizi, mtakapoingia katika nchi inayotiririka maziwa na asali ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wenu, aliwaahidi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 27

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 27:3 katika mazingira