Kumbukumbu La Sheria 27:6 BHN

6 Naam, madhabahu yoyote mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lazima ijengwe kwa mawe yasiyochongwa. Juu ya madhabahu hiyo mtamtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu sadaka za kuteketezwa.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 27

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 27:6 katika mazingira