Kumbukumbu La Sheria 27:9 BHN

9 Basi, Mose pamoja na makuhani Walawi wakawaambia watu wote wa Israeli, “Nyamazeni mnisikilize enyi watu wa Israeli. Leo hii nyinyi mmekuwa watu wake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 27

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 27:9 katika mazingira