Kumbukumbu La Sheria 28:29 BHN

29 Mtakwenda kwa kupapasapapasa mchana kama vipofu wala hamtafanikiwa katika shughuli zenu. Mtakuwa mkidhulumiwa kila mara na hakutakuwa na mtu wa kuwasaidieni.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:29 katika mazingira