Kumbukumbu La Sheria 28:31 BHN

31 Ngombe wenu watachinjwa mbele ya macho yenu lakini hamtaonja hata kipande cha nyama yao. Punda wenu watachukuliwa kwa nguvu mbele ya macho yenu wala hamtarudishiwa. Kondoo wenu watapewa adui zenu, na hakuna mtu atakayeweza kuwasaidia.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:31 katika mazingira