40 Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:40 katika mazingira