48 Kwa hiyo mtawatumikia maadui zenu ambao Mwenyezi-Mungu atawatuma dhidi yenu, kwa njaa, kiu na uchi, na kutindikiwa kila kitu. Atawafungeni nira ya chuma mpaka awaangamize.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:48 katika mazingira