Kumbukumbu La Sheria 28:52 BHN

52 Watu hao watawazingira katika miji yenu yote, mpaka kuta zenu za ngome ambazo mlitegemea zimeporomoshwa chini kila mahali katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapeni.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:52 katika mazingira