Kumbukumbu La Sheria 28:61 BHN

61 Atawaleteeni magonjwa ya kila aina na mateso mengine ambayo hayakutajwa katika kitabu hiki cha sheria mpaka muangamie.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:61 katika mazingira