Kumbukumbu La Sheria 28:8 BHN

8 Baraka za Mwenyezi-Mungu zitakuwa katika ghala zenu za nafaka na katika shughuli zenu zote. Atawabariki katika nchi ambayo anawapeni.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:8 katika mazingira